sw_tn/jdg/19/14.md

12 lines
273 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wakageuka huko
Hii ina maana ya kupumzika na kusimama mahali katikati ya safari.
# Naye akaingia
"Naye" inamzungumzia Mlawi lakini pia inazungumzia pamoja na watumishi wake na suria wake.
# aliyewaingiza nyumbani kwake
"atakayenikaribisha nyumbani kwake usiku huo"