# Wakageuka huko Hii ina maana ya kupumzika na kusimama mahali katikati ya safari. # Naye akaingia "Naye" inamzungumzia Mlawi lakini pia inazungumzia pamoja na watumishi wake na suria wake. # aliyewaingiza nyumbani kwake "atakayenikaribisha nyumbani kwake usiku huo"