sw_tn/jdg/18/24.md

32 lines
715 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# miungu niliyoifanya
Mika hakuitengeneza miungu lakini fundi aliitengeneza.
# Je, nina nini tena?
"sijabakiwa na kitu" au "mmechukua kila kitu ambacho ni muhimu kwangu"
# Unawezaje kuniuliza, 'Ni nini kinachokusumbua?
Mika anauliza hili swali akiwa na maana kuwa Wadani wanafahamu kitu kinachomsumbua.
# Usiruhusu tusikie chochote unachosema
"Usirihusu tukagundua chochote ulichozungumza" au "usiseme chochote juu ya hili"
# Kusikia ukisema chochote
"kukusikia ukisema chochote juu ya swala hili"
# familia yako mtauawa
"na kuiuwa familia yako"
# wakaenda zao
Hii ina maana ya kuwa wakaendelea na safari yao.
# walikuwa na nguvu sana juu yake
Wadani walikuwa na nguvu sana juu ya Mika na watu wake.