# miungu niliyoifanya Mika hakuitengeneza miungu lakini fundi aliitengeneza. # Je, nina nini tena? "sijabakiwa na kitu" au "mmechukua kila kitu ambacho ni muhimu kwangu" # Unawezaje kuniuliza, 'Ni nini kinachokusumbua? Mika anauliza hili swali akiwa na maana kuwa Wadani wanafahamu kitu kinachomsumbua. # Usiruhusu tusikie chochote unachosema "Usirihusu tukagundua chochote ulichozungumza" au "usiseme chochote juu ya hili" # Kusikia ukisema chochote "kukusikia ukisema chochote juu ya swala hili" # familia yako mtauawa "na kuiuwa familia yako" # wakaenda zao Hii ina maana ya kuwa wakaendelea na safari yao. # walikuwa na nguvu sana juu yake Wadani walikuwa na nguvu sana juu ya Mika na watu wake.