sw_tn/jdg/16/25.md

12 lines
339 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mwite Samsoni ... Walimwita Samsoni
Kwa kuwa Samsoni alikuwa mfungwa hakuitwa moja kwa moja, bali watu walimuomba mtu aliyekuwa muhusika ili amlete Samsoni.
# Kijana
Huyu hakuwa mtoto mdogo lakini alikuwa kijana.
# Niruhusu nishike nguzo zilizoshikilia nyumba hii, ili nipate kuegemea
"Niruhusu nishike nguzo zilizoshikilia nyumba"