# Mwite Samsoni ... Walimwita Samsoni Kwa kuwa Samsoni alikuwa mfungwa hakuitwa moja kwa moja, bali watu walimuomba mtu aliyekuwa muhusika ili amlete Samsoni. # Kijana Huyu hakuwa mtoto mdogo lakini alikuwa kijana. # Niruhusu nishike nguzo zilizoshikilia nyumba hii, ili nipate kuegemea "Niruhusu nishike nguzo zilizoshikilia nyumba"