sw_tn/jdg/16/13.md

44 lines
780 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# umenidanganya na kuniambia uongo
"Umenidanganya"
# unaweza kufungwa
"watu wanaweza kukushinda"
# Kufuma
Kupishanisha vipande pamoja ili vishikane.
# vifungo vya nywele zangu
Vipande vidogo vya nywele
# Kitambaa
nguo iliyotengenezwa kwa kufuma.
# Kitanda cha mfumi
Hii ni mashine inayochanganya nyuzi na kutengeneza nguo.
# kisha ukafunga kwenye kitanda cha mfumi
"kisha ukafunga kitambaa kwenye kitanda cha mfumi"
# kufunga
Kufunga kitu sehemu moja.
# nitakuwa kama mtu mwingine yeyote
"Nitakuwa na udhaifu kama mtu mwingine"
# Wafilisti wako juu yako
"Wafilisti wako hapa ili kukukamata"
# akang'oa kitambaa na pini zilizokuwa zimefungwa
"alizitoa nywele zake, pamoja akang'oa na pini zilizokuwa zimefungwa na kitambaa kilichokua kwenye kitanda cha mfumi"