# umenidanganya na kuniambia uongo "Umenidanganya" # unaweza kufungwa "watu wanaweza kukushinda" # Kufuma Kupishanisha vipande pamoja ili vishikane. # vifungo vya nywele zangu Vipande vidogo vya nywele # Kitambaa nguo iliyotengenezwa kwa kufuma. # Kitanda cha mfumi Hii ni mashine inayochanganya nyuzi na kutengeneza nguo. # kisha ukafunga kwenye kitanda cha mfumi "kisha ukafunga kitambaa kwenye kitanda cha mfumi" # kufunga Kufunga kitu sehemu moja. # nitakuwa kama mtu mwingine yeyote "Nitakuwa na udhaifu kama mtu mwingine" # Wafilisti wako juu yako "Wafilisti wako hapa ili kukukamata" # akang'oa kitambaa na pini zilizokuwa zimefungwa "alizitoa nywele zake, pamoja akang'oa na pini zilizokuwa zimefungwa na kitambaa kilichokua kwenye kitanda cha mfumi"