sw_tn/jdg/15/14.md

20 lines
497 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Alipofika
"Samsoni hakusafiri pekeyake, alikuwa akiongozwa na watu waliokuwa wamemfunga kwa kamba"
# Lehi
Hili ni jina la mji uliopo Yuda.
# akaja juu yake kwa nguvu
Roho wa Bwana alimchochea Samsoni. "akamfanya Samsoni kuwa na nguvu"
# Kamba zilizokuwa juu ya mikono yake zikawa kama kitambaa cha kuteketezwa
"Alizikata kamba zilizokuwa mikononi mwake kwa urahisi kama kitambaa kilichokuwa kinateketezwa"
# Kitambaa
Hiki kimetokana na mmea ambacho hutumika kutengenezea nyuzi na nguo.