sw_tn/jdg/14/14.md

28 lines
434 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Samsoni anawaambia kitendawili.
# Kati ya mtu aliyekula kilikuwepo kitu cha kula
"kitu cha kula kilikuwepo ndani ya mtu aliyekula"
# "aliyekula"
Inaweza kuelezewa kama "kitu kinachokula"
# nje ya nguvu kilikuwa kitu tamu
"Kitu ambacho ni kitamu kimetoka kwenye kitu chenye nguvu"
# yenye nguvu
"kitu chenye nguvu"
# Wageni wake
"watu waliokuwepo kwenye shherehe"
# Hawakupata jibu
"Hawakugundua jibu"