# Taarifa ya jumla: Samsoni anawaambia kitendawili. # Kati ya mtu aliyekula kilikuwepo kitu cha kula "kitu cha kula kilikuwepo ndani ya mtu aliyekula" # "aliyekula" Inaweza kuelezewa kama "kitu kinachokula" # nje ya nguvu kilikuwa kitu tamu "Kitu ambacho ni kitamu kimetoka kwenye kitu chenye nguvu" # yenye nguvu "kitu chenye nguvu" # Wageni wake "watu waliokuwepo kwenye shherehe" # Hawakupata jibu "Hawakugundua jibu"