sw_tn/jdg/14/05.md

24 lines
688 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Samsoni akashuka Timna
Neno "kushuka" linatumika kwa sababu Timna ipo juu ya ilipokuwa nyumba ya baba yake na Samsoni. Timna ni jina la mji uliopo kwenye bonde la Soreki.
# Na, tazama, kuna simba mdogo wa alikuja
"Tazama" ni neno lililotumika ili kumfanya msomaji awe makini kwa tukio linalofuata katika simulizi.
# alikuwa akiunguruma
"alikuwa akimtisha." Hii ni sauti ya simba ambayo huitoa akiwa anataka kuvamia kitu.
# Roho wa Bwana ghafla akaja juu yake
Roho wa Bwana akamchochea Samsoni. Akamfanya kuwa na nguvu sana.
# Kumrarua ... vipande
Akamrarua vipande viwili.
# hakuwa na kitu mkononi mwake
Hakuwa na kitu mkononi mwake ikimaanisha kuwa hakuwa na silaha yoyote.