sw_tn/jdg/13/06.md

28 lines
600 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtu wa Mungu
Hii inamaanisha kuwa mtu huyu alitumwa na Mungu.
# kuonekana kwake kulikuwa kama malaika wa Mungu, wa kutisha sana.
"Nilimwogopa kwa sababu alionekama kama malaika wa Mungu"
# Tazama
"sikia"
# Utazaa mtoto mwanaume
"kuzaa mtoto wa kiume" au "kuwa na mtoto wa kiume"
# chakula chochote ambacho sheria inasema kuwa si safi
Kitu ambacho Bwana amesema hakifai kuliwa kinaonekana kuwa ni najisi.
# Mnaziri wa Mungu.
"alitolewa kwa Mungu kama Mnaziri"
# tangu alipokuwa tumboni mwako mpaka siku ya kufa kwake
Hii inasisitiza kuwa itakuwa hivi kwa kipindi chote cha maisha yake.