sw_tn/jdg/13/03.md

32 lines
564 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuzaa mtoto mwanaume.
"kuzaa mtoto wa kiume" au "kuwa na mtoto wa kiume"
# chochote kilicho najisi
Kitu ambacho Bwana amesema hakifai kuliwa kinaonekana kuwa ni najisi.
# Tazama
"sikiliza"
# Hakuna wembe itakayotumiwa juu ya kichwa chake
"kichwa" inamaanisha nywele. "Hakuna mtu atakayekata nywele zake"
# Wembe
Ni kisu kikali kitumikacho kukata nywele karibu na ngozi.
# Mnaziri wa Mungu
"alitolewa kwa Mungu kama Mnaziri"
# kutoka tumboni
"kabla hajazaliwa"
# mkono wa Wafilisti
"mkono" inamaanisha utawala. "kuwa chini ya utawala wa Wafilisti"