# kuzaa mtoto mwanaume. "kuzaa mtoto wa kiume" au "kuwa na mtoto wa kiume" # chochote kilicho najisi Kitu ambacho Bwana amesema hakifai kuliwa kinaonekana kuwa ni najisi. # Tazama "sikiliza" # Hakuna wembe itakayotumiwa juu ya kichwa chake "kichwa" inamaanisha nywele. "Hakuna mtu atakayekata nywele zake" # Wembe Ni kisu kikali kitumikacho kukata nywele karibu na ngozi. # Mnaziri wa Mungu "alitolewa kwa Mungu kama Mnaziri" # kutoka tumboni "kabla hajazaliwa" # mkono wa Wafilisti "mkono" inamaanisha utawala. "kuwa chini ya utawala wa Wafilisti"