sw_tn/jdg/12/13.md

16 lines
325 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Abdoni ... Hileli
Haya ni majina ya wanaume.
# Mpirathoni ... Pirathoni
Pirathoni ni jina la mahali, na mtu anayetokea huko anaitwa Mpirathoni.
# Walipanda punda sabini
Watu hawa walimiliki punda sabini ambao waliwapanda.
# wana arobaini ... wajukuu thelathini ... punda sabini
"wana 40 ... wajukuu 30 ... punda 70"