# Abdoni ... Hileli Haya ni majina ya wanaume. # Mpirathoni ... Pirathoni Pirathoni ni jina la mahali, na mtu anayetokea huko anaitwa Mpirathoni. # Walipanda punda sabini Watu hawa walimiliki punda sabini ambao waliwapanda. # wana arobaini ... wajukuu thelathini ... punda sabini "wana 40 ... wajukuu 30 ... punda 70"