sw_tn/jdg/10/08.md

28 lines
645 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kuwaangamiza na kuwadhulumu
Haya maneno mawili yana maana moja ya kusisitiza ni kwa namna gani wana wa Israeli walikuwa wanateseka.
# Miaka kumi na nane
"miaka 18"
# waliokuwa ng'ambo ya Yordani
Hii inamaanisha waliokuwa mashariki mwa mto Yordani.
# iliyoko Gileadi
"huu mji pia uliitwa Gileadi"
# Yuda ... Benyamini
"Yuda" na "Benyamini" inasimama badala ya watu waliotoka katika makabila haya. "watu wa kabila la Yuda ... watu wa kabila la Benyamini"
# Nyumba ya Efraimu
"nyumba" inasimama badala ya kabila la Efraimu.
# Israeli akasumbuliwa sana
"israeli" inasimama badala ya watu wa Israeli. "watu wa Israeli wakateseka sana"