sw_tn/jdg/09/55.md

16 lines
332 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sabini
"70"
# akafanya uovu wote wa watu wa Shekemu ugeuke juu ya vichwa vyao wenyewe
"uovu wao ukawarudia juu ya vichwa vyao" "kuwaadhibu watu wa Shekemu kwa uovu waliofanya"
# juu yao ilikuja laana ya Yothamu mwana wa Yerubaali
"laana ya Yothamu mwana wa Yerubaali ikawapata"
# Yerubaali
Hili ni jina lingine la Gideoni.