# Sabini "70" # akafanya uovu wote wa watu wa Shekemu ugeuke juu ya vichwa vyao wenyewe "uovu wao ukawarudia juu ya vichwa vyao" "kuwaadhibu watu wa Shekemu kwa uovu waliofanya" # juu yao ilikuja laana ya Yothamu mwana wa Yerubaali "laana ya Yothamu mwana wa Yerubaali ikawapata" # Yerubaali Hili ni jina lingine la Gideoni.