sw_tn/jdg/09/38.md

28 lines
606 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Zebuli
Hili ni jina la mwanaume.
# Je, maneno yako ya kiburi yako wapi sasa?
"maneno" yanawakilisha kile alichosema. "kiburi chako kiko wapi sasa."
# wewe uliyesema, 'Abimeleki ni nani, ili tumtumikie?
Zebuli ananukuu swali la Gaali kwa Gaali mwenyewe. "wewe ndiye uliyesema kwamba tusimtumikie Abimeleki."
# Je, hao sio watu ambao uliwadharau?
Swali hili linaweza kuwekwa katika senytensi kama "Hawa ndo watu ambao uliwadharau"
# Aliwadharau
"aliwachukia" au "hakuwapenda"
# Gaali
Hili ni jina la mwanaume
# Na wengi wakaanguka na majeraha ya mauti
"na wengi wakafa kwa sababu ya majeraha"