# Zebuli Hili ni jina la mwanaume. # Je, maneno yako ya kiburi yako wapi sasa? "maneno" yanawakilisha kile alichosema. "kiburi chako kiko wapi sasa." # wewe uliyesema, 'Abimeleki ni nani, ili tumtumikie? Zebuli ananukuu swali la Gaali kwa Gaali mwenyewe. "wewe ndiye uliyesema kwamba tusimtumikie Abimeleki." # Je, hao sio watu ambao uliwadharau? Swali hili linaweza kuwekwa katika senytensi kama "Hawa ndo watu ambao uliwadharau" # Aliwadharau "aliwachukia" au "hakuwapenda" # Gaali Hili ni jina la mwanaume # Na wengi wakaanguka na majeraha ya mauti "na wengi wakafa kwa sababu ya majeraha"