sw_tn/jdg/09/07.md

24 lines
525 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Yotamu anaanza kuelezea fumbo ambalo miti inafananishwa na makundi mbalimbali ya watu.
# Yotamu alipoambiwa juu ya jambo hilo
"Yotamu aliposikia kuwa Abimeleki amemuua ndugu yake"
# Mlima Gerizimu
Huu ni mlima.
# Siku moja miti ilikwenda kumtia mafuta mfalme juu yao. Wakauambia mzeituni, tawala juu yetu.
Miti inazungumziwa kwa kufananishwa na watu.
# kumtia mafuta mfalme juu yao
Kutia mafuta ni ishara ya kuwakilisha kitendo cha kumteua mtu kuwa mfalme.
# Tawala juu yetu
"kuwa mfalme wetu"