# Taarifa ya jumla: Yotamu anaanza kuelezea fumbo ambalo miti inafananishwa na makundi mbalimbali ya watu. # Yotamu alipoambiwa juu ya jambo hilo "Yotamu aliposikia kuwa Abimeleki amemuua ndugu yake" # Mlima Gerizimu Huu ni mlima. # Siku moja miti ilikwenda kumtia mafuta mfalme juu yao. Wakauambia mzeituni, tawala juu yetu. Miti inazungumziwa kwa kufananishwa na watu. # kumtia mafuta mfalme juu yao Kutia mafuta ni ishara ya kuwakilisha kitendo cha kumteua mtu kuwa mfalme. # Tawala juu yetu "kuwa mfalme wetu"