sw_tn/jdg/08/24.md

20 lines
420 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Gideoni akawaambia
"Gideoni akawaambia wana wa Israeli"
# Hereni
dhahabu inayovaliwa sikioni
# Nyara
Hivi ni vitu vilivyochukuliwa kwa nguvu au vilivyochukuliwa kwa watu waliokufa vitani.
# Wamidiani walikuwa na pete za dhahabu kwa sababu walikuwa Waishmaeli
Hapa msimuliaji anatuelezea historia ya Wamidiani.
# Vazi
Nguo kubwa inayotengenezwa kwa kipande kikubwa cha kitambaa na huvaliwa mabegani kama koti.