# Gideoni akawaambia "Gideoni akawaambia wana wa Israeli" # Hereni dhahabu inayovaliwa sikioni # Nyara Hivi ni vitu vilivyochukuliwa kwa nguvu au vilivyochukuliwa kwa watu waliokufa vitani. # Wamidiani walikuwa na pete za dhahabu kwa sababu walikuwa Waishmaeli Hapa msimuliaji anatuelezea historia ya Wamidiani. # Vazi Nguo kubwa inayotengenezwa kwa kipande kikubwa cha kitambaa na huvaliwa mabegani kama koti.