sw_tn/jdg/08/18.md

16 lines
246 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Zeba na Salmuna
Haya ni majina ya wanaume.
# Tabori
Hili ni jina la mji.
# Kama wewe ulivyo, ndivyo walivyokuwa
"walikuwa kama wewe ulivyo"
# Kama Bwana aishivyo
Hiki ni kiapo cha dini kinachoonesha kuwa anachotaka kuzungumza ni ukweli.