# Zeba na Salmuna Haya ni majina ya wanaume. # Tabori Hili ni jina la mji. # Kama wewe ulivyo, ndivyo walivyokuwa "walikuwa kama wewe ulivyo" # Kama Bwana aishivyo Hiki ni kiapo cha dini kinachoonesha kuwa anachotaka kuzungumza ni ukweli.