sw_tn/jdg/08/15.md

20 lines
430 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Zeba na Salmuna
Haya ni majina ya wanaume.
# Je! mmemshinda Zeba na Salmuna?
Gideoni anarejea swali kwa watu wa Sukothi ili kuwakejeli. "Bado hamjamshinda Zeba na Salmuna."
# Gideoni akawachukua ... naye akawaadhibu ... akaangusha
Hapa "Gideoni" anawakilisha askari wake.
# Miiba na michongoma.
Vipande vyenye ncha kali vinavyokuwepo kwenye miti ambavyo vinaweza kuchoma watu au wanyama.
# Penueli
Hili ni jina la mji.