# Zeba na Salmuna Haya ni majina ya wanaume. # Je! mmemshinda Zeba na Salmuna? Gideoni anarejea swali kwa watu wa Sukothi ili kuwakejeli. "Bado hamjamshinda Zeba na Salmuna." # Gideoni akawachukua ... naye akawaadhibu ... akaangusha Hapa "Gideoni" anawakilisha askari wake. # Miiba na michongoma. Vipande vyenye ncha kali vinavyokuwepo kwenye miti ambavyo vinaweza kuchoma watu au wanyama. # Penueli Hili ni jina la mji.