sw_tn/jdg/08/01.md

12 lines
270 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ni nini hiki umetutenda?
Watu wa kabila la Efraimu wanamkemea Gideoni kwa kutumia swali kwa kuwa hakuwaweka katika jeshi lake.
# Dhidi ya Midiani.
"Midiani" inawakilisha jeshi la Midiani.
# Wakamwambia kwa nguvu
"wakamwambia kwa hasira" au "wakamkemea kwa nguvu"