# Ni nini hiki umetutenda? Watu wa kabila la Efraimu wanamkemea Gideoni kwa kutumia swali kwa kuwa hakuwaweka katika jeshi lake. # Dhidi ya Midiani. "Midiani" inawakilisha jeshi la Midiani. # Wakamwambia kwa nguvu "wakamwambia kwa hasira" au "wakamkemea kwa nguvu"