sw_tn/jdg/06/36.md

12 lines
251 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ngozi ya samazi
Nguo itokanayo na ngozi ya kondoo.
# umande
maji yanayotoka kwenye mimea wakati wa usiku.
# basi nitajua kwamba utanitumia
Maana halisi ya sentensi hii yaweza kuwa "Hii itakuwa ishara toka kwako, kisha nitajua kwamba utanituma"