# ngozi ya samazi Nguo itokanayo na ngozi ya kondoo. # umande maji yanayotoka kwenye mimea wakati wa usiku. # basi nitajua kwamba utanitumia Maana halisi ya sentensi hii yaweza kuwa "Hii itakuwa ishara toka kwako, kisha nitajua kwamba utanituma"