sw_tn/jdg/06/14.md

36 lines
745 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bwana akamtazama.
"Bwana akamtazama Gidioni"
# kutoka mkononi
"mkono inawakilisha nguvu au utawala.
# Mwa Midiani
"Midiani inawakilisha watu wa Midiani"
# Je, sikukutuma?
Bwana anatumia hili swali ili kumuhakikishia Gidioni kuwa amametuma. "kumtuma" inamaanisha kuwa Bwana amemchagua Gidioni kwa kazi maalumu.
# Tafadhali, Bwana
Gidioni sasa anamuita Bwana. Inaonesha kuwa inaonekana Gidioni anatambua au anahisi kwamba anazungumza na Bwana.
# Nawezaje kuwaokoa Israeli?
Gidioni aliuliza swali ili kusisitiza kuwa anafikiri hawezi kuwaokoa Waisraeli.
# Tazama
"tafadhali elewa" au "sikiliza"
# Katika Manase
"katika kabila la manase"
# Katika nyumba ya baba yangu
"nyumba" inawakilisha familia. "katika familia ya baba yangu"