# Bwana akamtazama. "Bwana akamtazama Gidioni" # kutoka mkononi "mkono inawakilisha nguvu au utawala. # Mwa Midiani "Midiani inawakilisha watu wa Midiani" # Je, sikukutuma? Bwana anatumia hili swali ili kumuhakikishia Gidioni kuwa amametuma. "kumtuma" inamaanisha kuwa Bwana amemchagua Gidioni kwa kazi maalumu. # Tafadhali, Bwana Gidioni sasa anamuita Bwana. Inaonesha kuwa inaonekana Gidioni anatambua au anahisi kwamba anazungumza na Bwana. # Nawezaje kuwaokoa Israeli? Gidioni aliuliza swali ili kusisitiza kuwa anafikiri hawezi kuwaokoa Waisraeli. # Tazama "tafadhali elewa" au "sikiliza" # Katika Manase "katika kabila la manase" # Katika nyumba ya baba yangu "nyumba" inawakilisha familia. "katika familia ya baba yangu"