sw_tn/jdg/05/24.md

20 lines
347 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yaeli
Hili ni jina la mwanamke.
# Heberi
Hili ni jina la mwanaume.
# Mkeni
Moja ya mtu wa Keeni.
# akamletea siagi
"siagi" ni maziwa mazito. Haya yalikuwa maziwa mazuri na kinywaji pendwa kwa watu wa Yaeli.
# sahani inayofaa kwa wakuu
Hii inamaanisha kuwa sahani ile ilikuwa ya thamani sana kwa sababu wakuu walitumia vitu vya thamani.