# Yaeli Hili ni jina la mwanamke. # Heberi Hili ni jina la mwanaume. # Mkeni Moja ya mtu wa Keeni. # akamletea siagi "siagi" ni maziwa mazito. Haya yalikuwa maziwa mazuri na kinywaji pendwa kwa watu wa Yaeli. # sahani inayofaa kwa wakuu Hii inamaanisha kuwa sahani ile ilikuwa ya thamani sana kwa sababu wakuu walitumia vitu vya thamani.