sw_tn/jdg/04/01.md

28 lines
469 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ehudi
Hili ni jina la mwanaume.
# yaliyo mabaya machoni pa Bwana.
"machoni mwa Bwana" inawakilisha kitu ambacho Bwana anakifikiria au kuwaza juu ya jambo fulani
# Bwana akawatia mkononi mwa Yabini, mfalme wa Kanaani
Hapa "mkono" ina maanisha nguvu za Yabini juu ya Israeli.
# Yabini ... Sisera
Haya ni majina ya wanaume
# Hasori ... Harosheti
Haya ni majina ya miji au mahali.
# magari ya chuma mia tisa
"magari ya chuma 900"
# miaka ishirini
"miaka 20"