# Ehudi Hili ni jina la mwanaume. # yaliyo mabaya machoni pa Bwana. "machoni mwa Bwana" inawakilisha kitu ambacho Bwana anakifikiria au kuwaza juu ya jambo fulani # Bwana akawatia mkononi mwa Yabini, mfalme wa Kanaani Hapa "mkono" ina maanisha nguvu za Yabini juu ya Israeli. # Yabini ... Sisera Haya ni majina ya wanaume # Hasori ... Harosheti Haya ni majina ya miji au mahali. # magari ya chuma mia tisa "magari ya chuma 900" # miaka ishirini "miaka 20"