sw_tn/jdg/03/04.md

16 lines
312 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mataifa haya yaliachwa
Inaweza kuanza kama "Bwana aliyaacha mataifa haya Kanaani" au "Bwana aliruhusu mataifa haya kuendelea kuishi Kanaani"
# kama njia
"kama namna"
# kama watazitii ... alizowapa babu zao
Maneno "wao" na "zao" yanawaelezea wana wa Israeli.
# amri alizowapa
"amri ambazo Bwana aliwapa"