sw_tn/jdg/02/16.md

24 lines
569 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ndipo Bwana akawainua waamuzi
Bwana aliwachagua watu kuwa waamuzi akawainua.
# katika mikono ya wale
"mikono" ni nguvu. "Toka kwenye nguvu za adui zao"
# Hawakuwasikiliza waamuzi wao
"hawakuwatii waamuzi wao"
# wakajitoa wenyewe kama makahaba kwa miungu mingine na kuabudu
Watu kumsaliti Mungu na kuiabudu miungu mingine wanafananishwa na makahaba. "walimsaliti kwa kuiabudu miungu ya uongo"
# Waligeuka upesi na kuiacha njia waliyoishi baba zao
Watu hawakufanya kama vile babu zao walivyomuabudu Bwana, waligeukia upande mwingine.
# Baba zao
"mababu zao"