# Ndipo Bwana akawainua waamuzi Bwana aliwachagua watu kuwa waamuzi akawainua. # katika mikono ya wale "mikono" ni nguvu. "Toka kwenye nguvu za adui zao" # Hawakuwasikiliza waamuzi wao "hawakuwatii waamuzi wao" # wakajitoa wenyewe kama makahaba kwa miungu mingine na kuabudu Watu kumsaliti Mungu na kuiabudu miungu mingine wanafananishwa na makahaba. "walimsaliti kwa kuiabudu miungu ya uongo" # Waligeuka upesi na kuiacha njia waliyoishi baba zao Watu hawakufanya kama vile babu zao walivyomuabudu Bwana, waligeukia upande mwingine. # Baba zao "mababu zao"