sw_tn/jdg/02/11.md

32 lines
645 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yaliyo mabaya machoni mwa Bwana
"machoni mwa Bwana" inawakilisha kile ambacho Bwana alikifikiria.
# Mabaali
Huu ni wingi wa Baali. Baali ni jina la mungu wa uongo.
# Wakaondoka kwa Bwana
Waisraeli hawakutii tena anayosema Bwana hivyo wakawa wameondoka mbele ya Bwana.
# Baba
"Mababu"
# Wakaifuata miungu mingine
Waisraeli kuanza kuabudu miungu ya uongo wanafananishwa kama Waisraeli walioondoka na kuifuata miungu ya uongo.
# Wakaisujudia
Hili ni tendo la kuabudu au kutoa heshima kwa mtu.
# Wakamkasirisha Bwana
Wakasababisha Bwana akasirike"
# Maashtoreti.
Huu ni wingi wa Ashtoreti, aliyeabudiwa kama mungu kwa namna nyingi.