# Yaliyo mabaya machoni mwa Bwana "machoni mwa Bwana" inawakilisha kile ambacho Bwana alikifikiria. # Mabaali Huu ni wingi wa Baali. Baali ni jina la mungu wa uongo. # Wakaondoka kwa Bwana Waisraeli hawakutii tena anayosema Bwana hivyo wakawa wameondoka mbele ya Bwana. # Baba "Mababu" # Wakaifuata miungu mingine Waisraeli kuanza kuabudu miungu ya uongo wanafananishwa kama Waisraeli walioondoka na kuifuata miungu ya uongo. # Wakaisujudia Hili ni tendo la kuabudu au kutoa heshima kwa mtu. # Wakamkasirisha Bwana Wakasababisha Bwana akasirike" # Maashtoreti. Huu ni wingi wa Ashtoreti, aliyeabudiwa kama mungu kwa namna nyingi.