sw_tn/jdg/01/16.md

32 lines
631 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mkwe wake na Musa
"mkwe" "baba yake na mke wa musa"
# Mkeeni, mkwe alikwenda
"mkwe ambaye alikuwa ni moja ya watu wa Keeni, alikwenda"
# walikwenda kutoka mji wa Mitende ... mpaka jangwa
"aliondoka kwenye mji wa mitende ... akaenda jangwani"
# Mji wa mitende
Hili ni jina lingine la mji wa Yeriko
# Arad
Hili ni jina la mji wa Kanaani
# wana wa Simeoni ndugu zao
"ndugu" hii inamaanisha ndugu waliopo katika kabila lingine la Israeli.
# Zefathi
Hili ni jina la mji wa Kanaani
# Mji uliitwa Horma
Baada ya Israeli kuiharibu Zefathi, walibadilisha jina na kupaita Horma. Jina Horma lina maana ya "uharibifu kamili."