# Mkwe wake na Musa "mkwe" "baba yake na mke wa musa" # Mkeeni, mkwe alikwenda "mkwe ambaye alikuwa ni moja ya watu wa Keeni, alikwenda" # walikwenda kutoka mji wa Mitende ... mpaka jangwa "aliondoka kwenye mji wa mitende ... akaenda jangwani" # Mji wa mitende Hili ni jina lingine la mji wa Yeriko # Arad Hili ni jina la mji wa Kanaani # wana wa Simeoni ndugu zao "ndugu" hii inamaanisha ndugu waliopo katika kabila lingine la Israeli. # Zefathi Hili ni jina la mji wa Kanaani # Mji uliitwa Horma Baada ya Israeli kuiharibu Zefathi, walibadilisha jina na kupaita Horma. Jina Horma lina maana ya "uharibifu kamili."