sw_tn/jdg/01/08.md

32 lines
922 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# jiji la Yerusalemu na kulichukua
Hapa "jiji" lina maanisha watu. "watu wanaoishi Yerusalemu na kuwashinda"
# Walishambulia
Walishambulia jiji linaliwakilisha watu wa mji. "Walishambulia watu wa jiji"
# kwa makali ya upanga
Hapa "Upanga" inamaanisha upanga au silaha nyingine inayotumiwa na askari vitani. "na upanga wao" au "na silaha zao"
# watu wa Yuda walikwenda chini kupigana
Ilikuwa kawaida kutumia neno chini ikiwa ina maanisha kusafiri toka Yerusalemu. "Watu wa Yuda walikwenda kupigana"
# Negebu
Kusini mwa jangwa la Yuda
# Milima
vilima vilivyo chini ya mlima.
# jina la Hebroni hapo awali ilikuwa Kiriath-arba
Hii ni taarifa. baadhi ya watu ambao walisoma kitabu hiki mwanzoni yamkini walisikia juu ya Kiriath-arba lakini hawakufahamu kuwa ilikuwa ni mji wa Hebroni.
# Sheshai, Ahimani na Talmai
Haya ni majina ya viongozi watatu wa Kikanaani wa Hebroni. Kila kiongozi anawakilisha jeshi lake.