forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.3 KiB
Markdown
36 lines
1.3 KiB
Markdown
|
# Sentensi unganishi
|
||
|
|
||
|
Yakobo anaendelea kuwaonya matajiri juu ya starehe na utajiri.
|
||
|
|
||
|
# malipo ya watendakazi-wale ambao hamjawalipa kwa kuvuna katika mashamba yenu- wanalia
|
||
|
|
||
|
Pesa ambayo ilitakiwa ilipwe imeelezewa hapa kama mtu anayelalamika juu ya dhuluma aliyofanyiwa. "kwa kuwa hamwalipi mliowaajiri kufanya kazi kwenye mashamba yenu mnafanya makosa"
|
||
|
|
||
|
# kilio cha wale waliovuna mazao yenu kimeyafikia masikio ya Bwana wa Majeshi.
|
||
|
|
||
|
Kilio cha wanaovuna kimesikika mbinguni. "Bwana wa majeshi amesikia kilio cha wavunaji"
|
||
|
|
||
|
# kwenye masikio ya Bwana wa Majeshi
|
||
|
|
||
|
Mungu anazungumziwa kuwa ana masikio kama mwanadamu. "Bwana wa majeshi amesikia"
|
||
|
|
||
|
# Mmejinenepesha mioyo yenu kwa siku ya machinjo
|
||
|
|
||
|
Hapa watu wanaelezewa kama wanyama, wanaolishwa vizuri ili wanenepe na kuchinjwa kwa ajili ya karamu. Japokuwa hamna atakayesherehekea siku ya hukumu. "Tamaa zeni zinawaandaa kwa hukumu ya milele"
|
||
|
|
||
|
# mioyo yenu
|
||
|
|
||
|
"Mioyo" imezungumziwa kama kituo cha tamaa za mwanadamu. Neno hili linasimama kumuelezea mtu kwa ujumla.
|
||
|
|
||
|
# Mmemhukumu ... mwenye haki
|
||
|
|
||
|
"Mmehukumu" inaweza isiwe na maana ya kisheria ya kupitisha hukumu ya kifo. Bali inawazungumzia watu waovu na wenye nguvu wanaoamua kuwanyanyasa masikini mpaka wanakufa.
|
||
|
|
||
|
# mwenye haki
|
||
|
|
||
|
"Mtu anayefanya mambo yanayofaa" Hii sentensi inaelezea watu wenye haki kwa ujumla na sio mtu mmoja.
|
||
|
|
||
|
# asiyeweza kuwapinga
|
||
|
|
||
|
"Asiye kinyume na ninyi"
|