sw_tn/jas/01/04.md

24 lines
529 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tuache uvumilivu ukamilishe kazi yake.
Hapa uvumilivu imezungumzwa kama vile mtu yupo kazini. "Jifunze kuvumilia magumu yote"
# Kukua kabisa
Kuwa na uwezo wa kumwamini Kristo na kumtii yeye katika hali zote.
# Usipungukiwe chochote
Hii inaweza kuwa sentensi chanya "kuwa na uwezo kumtii Mungu kwa kila jambo"
# Muombe Mungu, yeye atoaye
"Muombe Mungu. Ni yeye atoaye"
# Ukarimu na "bila kukemea
Hii inaweza kuzungumziwa kwa mtazamo chanya "ukarimu au furaha"
# Atawapa
"Mungu atawapa" au "Mungu atajibu maombi yenu"